Wednesday, May 10, 2006

5 comments:

John Mwaipopo said...

Hebu sasa kaweke kapicha hako pale kwenye utambulisho wako (kulia juu hapo kama Christian). Kapicha kazuri tu.

jakogallo said...

Mwaipopo thanks lakini ebu nipe tips nifanyeje hiyo unajua bado mgeni kwenye hii blog.na christian kashaondoka hapa.siko naye tena

John Mwaipopo said...

Human view jaribu kuangalia hapa
http://help.blogger.com/bin/answer.py?answer=776

Kisha soma taratibu utaelewa tu kupandisha picha yako. Unatakiwa uwe nayo tayari kama kwenye desktip hivi (ya ukubwa wa kawaida hivi). Anza kama unataka ui-upload kama posting ya kawaida (kama ulivyoanza kuiweka hiyo iliyopo). Ukisha i-upload utakwenda kuibadilisha HTML. Huko utakuta URL (address) ya picha. Icopy URL kama walivyonyesha kwenye mfano wao na ui-paste utakaporudi kwenye 'edit profile' (Baada ya kucopy URL utaghairi kuiupload au unaweza endelea nayo ili u-delete baadaye kabisa)

Utaelewa mwenyewe utakapofuata kuunganishi hicho hapo juu. Soma taratibu na utaelewa tu.

Vempin Media Tanzania said...

Karibu sana kaka katika huu ulimwengu wetu huu, enhee habari za siku nyingi mimi ninakukumbuka sana mzee tumekuwa wote pale Chuo Kikuu lakini ulikuwa nyuma yangu, mimi nipo katika huu ulimwengu kwa muda kidogo. tupachikie picha mudhee.

Unknown said...

very nice your site
obat aborsi | obat telat bulan | obat penggugur kandungan