Wednesday, April 19, 2006

The use of condoms in the fight against HIV/AIDS.
I understand that most people oppose the current movement against the fight against HIV pandemic,which insist the use of condoms.
majority of people,especially those with religiou background do oppose the use of condoms.they contend that condoms increase promiscuousity among people. Others outside religion believe that condoms are not effective.They on the other hand say that condoms are not scientifically HIV proof. Yet others still say that condoms are ineffective because it reduces the sexual enjoyment.
what is the solution?
Religoius people propose two things,
Abstain until marriage and once you are married be Faithful.
I a gree.these are the best protection methods against the virus.
what i don't a gree with is, they don't want to consider condom as an option too.while it might be easy for them to use religion to abstain,all people are not as religious as they are.
while it is a very good point to be faithful, it is a common knowledge that majority of people are NOT happy in their relationships(marriage) and seek sexual satisfaction outside.others can't just be satisfied with one partner and therefore tend to have multiple sexual partners.All these people however need to be protected against HIV/AIDS and so far the only way by which people can be safe and still enjoy their sexual freedom is to use protection(condom).that is for those who for one reason or the other cannot either abstain or be faithful.Statistically they are the majority.
For those who doubt the efectiveness of condoms as a tool,I would say that they are questioning the credibility of organisations like the UN,and even their own GOVERNMENT.I don't think that our government will allow its citizens to use something which is not effective.the UN is the world body with facilities and experts from around all the world,there are scientist from all walks of life.they wouldn't sit down and allow and even campaign for something which is not effective.so I urge them that if they believe the UN in other health campaigns it has carried out and succeeded in,then they should believe it even more now because this campaign need more individual commitment and willingness to change behavior so that we reduce and and eventually stop the pandemic.That alone should prove beyond doubts that condoms are effective.
The problem is, people have not been using it consistently and correctly as a result people still get pregnant,HIV and other STDs.
For those who think that using a condom is not enjoyable.Sexual enjoyment and satisfaction is an issue of attitude and readiness.Many people can attain sexual satisfaction even without actual intercourse.my point here is many people are not used to condoms and whenever they use it,the do so hurriedly and incorrectly, these, added to the negative attitude held against it leads to a dissappointing sexual experiencei.Condoms when used correctly ,consistently and in arelaxed way leads to sexual enjoyment and satisfaction as usual.all you have to do is to talk with your partner,agree and use it in an environment which is free and you'll be surprised
Let us not lie to ourselves.HIV/AIDS is apandemic which has claimed many peoples' lives and still continue to do so.More and more people are having more sex than before as freedom of premarital sex is becoming normal in our socities. It 's better to have sex more and more but in a safe way than to pretend that we abstain or be faithful and then have unsafe sex.However this is a personal preference,sex is real and good and appealing,but HIV is also real and deadly.so choose between an extremely exciting unprotected sex plus HIV or a very good satisfying sex with condoms.condoms are safe.

18 comments:

boniphace said...

oooh yale yale makizungu, mimi haya siyajui kabisa na siyaelewi, Andika Kiswahili hii ndiyo lugha yetu. Nitakukaribisha rsmi ukiandika Kiswahili leo naomba nitrulie kwanza

John Mwaipopo said...

Albert William Karibu thana. Any relation with AWILO LONGOMBA? If you don't know, he goes by Albert WIlliam LOngomba (AWILO). Anyway, cute to have you pal. Keep going and I'll keep reading ya. Meanwhile don't let Makene down eeh.

Christian Bwaya said...

Makene hivi kwa nini unamaindi kinyumbani hivi aisee? Mi "nilizani" ughaibuni kumekubadili interesti lakini wapi bado unaugulia bongo. Hongera bwana.
Mwaipopo sikujua kama Lombomba anaenda kwa jina hilo. Du yu laik ze bolingo staff?

jakogallo said...

alah! nilikuwa sifahamu.Unakumbuka oginga Odinga alikataa majina yake yote ya kikristo.lakini nafikiri ilikuwa miaka ya 38 huko katika kuwapinga wazungu.hivi katika kuipiga vita UKIMWI nahitaji kuwa na jina la kiswahili?
hey makene thanks for your reminder but pleeeese write s'thing on ma topic.

jakogallo said...

alah! nilikuwa sifahamu.Unakumbuka oginga Odinga alikataa majina yake yote ya kikristo.lakini nafikiri ilikuwa miaka ya 38 huko katika kuwapinga wazungu.hivi katika kuipiga vita UKIMWI nahitaji kuwa na jina la kiswahili?
hey makene thanks for your reminder but pleeeese write s'thing on ma topic.

Christian Bwaya said...

Hili suala la kondomu niko lano kinyume kabisa kwa sababu mbili kubwa. Moja, hazisaidii watu kuachana na tabia zinazoweza kuongeza tatizo ambalo tunajaribu kupigana nalo. Pili, kondomu zenyewe haziaminiki ubora wake. Hivyo hata kama tutajitahidi kuzipigia debe bado hatuwezi kufanikiwa katika vita yetu dhidi ta ugonjwa huu.

Aidha, katika Tanzania matangazo ya kondomu yanaongeza tatizo juu ya tatizo maana yanashawishi vijana na watoto kujiingiza katika vitendo vya ngono. Kwa maana nyingine, tunajikuta tukizalisha wazinzi kwa wingi zaidi.

Kwa nini Albert unaamini kwamba kondomu zinaweza kutumika katika moja wapo ya njia za kujikinga na UKIMWI wakati zinaonyesha udhaifu kiasi hicho?

Jeff Msangi said...

Karibu sana.Kuna mantiki katika makundi yote yanayokesha kulumbana kuhusiana na masuala ya kondomu,lazima tukubali.Haki ya kuishi,kuthaminiwa utu na uhuru binafsi,ule wa kujichagulia jinsi gani uishi na ufe ni jambo ambalo hata hizi nchi zilizoendelea zinaanza kutokwa kamasi kwalo.Nadhani kuna haja,na hili nalisema kila siku,ya kuelimisha wananchi juu ya sayansi ya jinsi virusi vya ukimwi vinavyotoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine.Hili kwa maoni yangu,bado halijafanyika ipasavyo hususani kwa wale wananchi ambao maneno ya kizungu kama virus kuyageuza kuwa virusi bado haitoshi kwao kuelewa.Wananchi wakishajua jinsi gani virusi vinatoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine ndipo watakapokuwa na uwezo wa kimantiki wa kuchagua kinga thabiti.Kondomu inazuia nini au inatakiwa izuie nini,michubuko au virusi wakati wa tendo la ngono?Tuanzie hapo.

John Mwaipopo said...

Jeff umenipa changamoto mpya. Pengine hatujui ama tunasahau. Kwa mfano mama anamwambia binti, "Umekua sasa.Ukikutana na mwanaume tu shauri yako. Unapata mimba". Tayari mama huyu hajampa mwanaye elimu husika. Je ni kweli akilala na mwanaume siku yoyote kati ya zile 28 anapata mimba? Sasa binti huyu akiijua taaluma ya mzunguko wake kuwa lini anaweza kunasa na lini hawezi, hapo suala la kujiepusha na 'ngoma' huenda akalisahau. Kumbe katika hoja yako napata jambo kuwa pengine elimu kamilifu bado kutawanywa. Tunapewa elimu nusunusu. Twende hatua nyingine sasa. Sio 'tumia kondom' Nitumie vipi ama wapi. Kidoleni kama wamasai ama mfukoni kama machekibob wengi.

boniphace said...

Siijui hiyo tpiki kabisa maana umeandika kizungu na mimi kaka hakipandi. Bado sijatoa hoja nakuhitaji urejee kuandika kwa Kiswahili. Bwaya huku ughaibuni sizungumzi Kiingereza bali Kispaniola.

jakogallo said...

tatizo linakuja Jeff.hivi ni wananchi wangapi wataelewa maana kamaCD4,ugonjwa huu umekuja na matamshi ambayo hayapo kwa kiswahili na una jua maeneo kama kule kwetu mara vijijini shule ni kidogo sana.kikwete jana tu kakataza watu wanaotumia uhuru wa maoni kwa kukemea watu amabao kwa kutumia uhuru huo wanaeneza mkutano wa nyama kwa nyama bila kuelewa athari au ushawishi unao weza kutokea kwa watu.kwa hiyo jeff mi nafikiri hata huo uhuru wa kuchagua namna ya kufa nafikiri tuipige vita wakati mwingine unaleta hasara kwa taifa,familia na jamii inyokuzunguka.kwa mfano mtu anawatoto wanne hawajamaliza shule ya msingi huku anaendekeza ngono holela tena ngono isiyosalama.akipata virusi si anamuua mke wake na wengine kadhaa,na kuacha watoto yatima bila shule.sasa mtu kama huyo unasema tumuache tu achague namna anavyotaka kufa.makene nime kubali.ninachosema nikuwa tunavyoendelea kubishana bila kujikinga inamaana tunaruhusu maambukizi zaidi.kwanini tusitafute ukweli wakati tukijinga ili tuuwe ndege wawili kwa jiwe moja>?

jakogallo said...

christian unanishangaza sana,hivi unaamini kweli kwamba kondom hazizuii maambukizi?,ok tembelea tovuti niliokuwekea hapo juu ya mipira hii ambayo ni mkombozi kwa wenzangu na mimi ambao wanataka kuponda raha.sababu ni kwamba christian,watu bado wameshindwa kuzitumia vizuri.makutano mengi za kingono hapa kwetu bado yanafanyika bila maandalizi na makubaliano ya sahihi,mbaya zaidi watu wanakutana wakiwa wamezima taa.namna hii matumizi sahihi kweli yatakwepo?na kule kijijini sijui kama unaelewa kwamba tunakutana kwenye majani na vimisitu vidogo tena wakati mpenzi wako ameenda kufuata maji au kuni au anatoka sokoni,issue yanyewe inaenda chap chap kwa sababu wanoko watawaona na si vizuri.si unajua kule hakuna guest???sasa katika hali hii kweli christian utawezaje kutumia hii mipira kwa usahihi??kama watu wanaweza kujizui ni vizuri sana lakini wengi wetu hatuwezi hapa ndo maana mi nasisitiza hii mipira
kitu kingine usipo itambua kondom kama njia mojawapo basi huwatendei watu wengine haki.kwasabau wengine wangependa kuendelea kula raha zao lakini wafanye hivo wakiwa salama.na kondom ndo chombo pekee kinachotoa nafasi hiyo kwa sasa.

jakogallo said...

mwaipopo mi nadhani ni uchunguzi mzuri,lakini tunajua ukimwi unawaua wote wanojua na wasiojua kusoma.kitu kingine hivi kwanini watu ni wabishi katika kutumia kondomu wakati karibia watu wote wananawa kabla ya kula hivi hayo maelezo yametolewa wapi??mi nadhani vipacti vya salama condom hapa kwetu vinamaelezo ya kutosha na michoro na inaoonyesha kwamba uvae kwenye uume na si vidole.mi ningekubali kama kweli watu ambao wanakufa kwa ukimwi ni wale tu wasiojua kusoma hapo ningekubaliana na wewe.mbona watu wakisikia tu kipindupindu wanajitahidi kweli kuchemsha maji ya kunywa,kusisitiza chakula kiliwe kikiwa cha moto,kuosha matunda nk,kwanini swala la kutumia kondumu mnahitaji elimu ndeefu na mnaleta ubishi mwiingi hata wale amaboa wameenda shule vizuri kabisa.unakuta mtu ni profesa kabisa anakufa kwa ukimwi hivi ni elimu haina gani ambayo mtu huyu anaitaka ili kujikinga???tusemeni mambo mengine lakini hili la elimu si kweli wakati wote.

Ndesanjo Macha said...

Mada nzito hii. Ila kama anavyosema Makene, kama nia yako ni kuwasiliana na sisi wenzako, lugha tunayoifahamu na kuipenda zaidi ni Kiswahili. Kiingereza, kilatini, kifaransa na nyingine zinakuja baadaye.

Lakini mada nzito. Hasa suala la kondomu. Je zinazuia au la? Je zinapunguza uwezekano wa kuambukizwa? Msimamo wa Bwaya naufahamu. Nadhani kuna uwezekano wa kuwa katikati. Katikati ya mtazamo kama wako na wa Bwaya.

jakogallo said...

ndesanjo unajua kwanini mi nasema watu wajitahidi kutumia condom?.ni kwa sababu hizo njia mbili za mwanzo kwa kweli wengi hawatumii.na mimi maslahi yangu ni kwa wengi.ukichora grafu ya kwaida(normal curve)utakuta wengi wanapenda kushiriki tendo la ngono na wachache watokuwa waaminifu na wengine wachache watasubiri.kwa hiyo njia pekee ni kuwaruhusu hao wengi waendelee na hiyo tabia wanayoipenda lakini wawe salama.kwasababu mtu akiwa na afya njema basi ana nafasi ya kuwa muaminifu hapo akipata waliyeshibana na kuendelea na maisha vizuri.mi nafikiri tujitahidi kuweka condom iwe sehemu ya maisha yetu ya kawaida na tutaizoea tu.mbona tumezoea blog sasa hivi??

nondoboy said...

Bwaya, ninakubaliana nawe kabisa. kondomu haziwezi kutumika katika moja wapo ya njia za kujikinga na UKIMWI wakati zinaonyesha udhaifu kiasi hicho.

Matangazo ya kondomu nayo yanaongeza hamu ya kutenda hicho kitendo cha ngono. Kama ni mwanaume, unajikuta ghafla una hamu ya mwanamke, na ukimpata huyo mwana dada unakua na hamu ya kwenda nae nyama kwa nyama. Na kama mwanamke mwenye hana msimamo basi mpira hauta tumika. Dhahiri, tangazo la kondomu lime zaa janga juu ya janga.

Unknown said...

cool wah also browse your site ,
I really like and are excited about this can find your site ..
Greetings Introduction Of My Seo Milanisti
obat perangsang | obat kuat | alat bantu sex

KOREK PENTOL said...

Interesting article and I Banget Fill It Love
Fraternal greetings from our.

obat aborsi

obat telat bulan

jual obat aborsi

Unknown said...

cool the contents of your site this article ..
we wait for your next post ..

obat perangsang wanita
obat perangsang wanita

alat bantu sex
alat bantu sex