Rwanda na burundi? Afrika Mashariki
mmeyasikia wana Afrika Mashariki asilia kama mta waweza watutsi na wahutu.rafiki zangu fulani walikuwa wanasema kuwa na jina tutabadilisha kuwa GREAT LAKES AFRICA na pia DRC wantaka kujiunga uoga wangu;jama wasije wakalianzisha huko halafu sie huku tushindwe kupumua.kitu kingine,warwanda wako smart sana yaani wanajua kunyakua na kupata nafasi hawatakuwa kenya nyingine kwenye jumuia hii ambayo tanzania ni waoga kweli wa ushindani na pia kwa kiasi kikubwa bado tumezubaa??,ila kwa kiasi nina furahifurahi kuwa sasa angalau tutawaona mara kwa mara warwanda na burudi(ka european union fulani).
Friday, December 01, 2006
Subscribe to:
Posts (Atom)